Ana andika Elias mhegela.
TWENDE TARATIBU TUSITUKANANE, TUSIBURUZANE, TUSIKASHIFIANE...
Ni kwamba watu wengi tunaoandika habari iwe ni magazetini au mitandaoni
tuna nia njema na nchi yetu Tanzania. Lakini katika siku za hivi
karibuni umeibuka mtindo wa watu wasio na staha kutukana wenzao
mitandaoni.
Habari za uhakika ambazo nimezipata kidukuzi wafanyao
hivyo wapo kwenye payroll sehemu fulani. Habari niliyofahamishwa ni
kwamba hao waliojigeuza kuwa ‘vijibwa koko’ wanalipwa sh...